Yona

Swahili Union Version (SUV) · 4 sura

Kitabu cha Yona kinasimulia habari za nabii Yona aliyewahi kutumwa na Mungu kwenda Ninawi kuwafahamisha dhambi zao. Yona alijaribu kukwepa amri hiyo lakini hatimaye akakubali na kuwahubiri wa-Ninawi. Kitabu hiki kina somo la toba na rehema ya Mungu.