Swahili Union Version (SUV)
Watu wote wamhimidie Bwana. Fadhili zake ni za milele.
Swahili Union Version. Bible Society of East Africa.
1Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni Bwana, Enyi watu wote, mhimidini.
2Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa Bwana ni wa milele.